scrub ya uso na mwili

frank scrub ya uso na mwiliumuhimu wa hii scrabinafuta ngozi ilio chokainatengenzena na ngoxiinasaidia kuepeka mashimo usoninakupa ngozi yako muonekano mzur
unatumia kwa wiki mara 1unahitaji
nusu kikombe kahawa yakituruki(unaeza tumia yyte)kasrobo kikombe cha chumvi mawe(unaeza tumia chumvi yakawaida)matone 6 ya esential oil ya chungwa
changanya utie mchanganyikl katika kopo la kukazika vzrutumiajichukua kijiko kimoja cha scrb uongeze mafuta ya nazi au loxi au mafuta ya parachichi au mafuta ya zeitun na upake katika ngazo kavu uscrub kisha osha, jipanguze uwe mkavu na utumie crim ya kurutubisha mwili unatumia kwa wiki mara 1

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *