MAPISHI YA KUPIKA UJI WA HABA HAMRAA

🍶UJI WA HABA HAMRAA 

MAHITAJI YA KUPIKA UJI WA HABA HAMRAA 

  • Maziwa 3 cups
  • Haba hamraa nusu kikombe cha kahawa Roweka kwenye maji
  • Custud powder 
  • Sukari 
  • Hiliki au vanila au zaafarani 

JINSI YA KUPIKA UJI WA HABA HAMRAA Pika custard very light kisha tia Habat zako koroga na sukari ichemke kdg Enjoy 😊😊

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *