MAPISHI YA KUPIKA ANJERA

ANJERA.

MAHITAJI YA KUPIKA ANJERA

 • unga wa ngano kg 1.
 • Sembe kikombe 1
 • Samli/korie
 • Chumvi kijiko kidogo
 • Hamira kijiko cha chakula 1 na nusu
 • Mayai 2

JINSI YA KUPIKA ANJERA

 1. Chukua unga wa ngano changanya na wa sembe weka kny bakuli tia maji changanya weka hamira chnganya uwe mzito.weka chumvi
 2. Weka mayai changanya vzr then funika mpk uumuke na kujaa.
 3. Kbl ya kupika hakikisha unga wako mzito kdg usiwe mwepesi km wa mikate ya maji na pia usiwe mzito sana yn uwe kati kwa kati wakuweza kuchoteka.
 4. Weka pan yako jikoni ikipata moto chota unga na uumiimine kny pan huku ukiusambaza kwa kijiko yn upawa then usambaze upate round shape.funika na mfuniko ili mkate upate matundu matundu.
 5. Ukiona ushaiva utoe
 6. Paka samli au mafuta ya kawaida then nyunyizia sukari juu. Endelea hivyo mpk unga wako uishe.
 7. Teyari kwa kuliwa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *