MAMBO KUMI YAKUFANYA KABLA RAMADHANI*

*
🔹🔹🔹🔹🔹🔹🔹🔹
*1.Funga Kwa  kuona  mwezi  fungua  kwa  kuona mwezi  kwa mujibu  wa Quran  mwenye  kushudia  mwezi  basi naafunge*.
*2.Usijadili maswala  ya mwezi  bila  elimu  kwanza  munapoteza  muda  pili  unaweza  potosha watu*
*3.Zidisha swala  za  sunnah  kipende  hichi ile  iwe  rahisi  kuswali  kipende  cha ramadhani*
*4.Pungunza magroup ambayo  hayana faida yanaweza  pelekea  kuaribu saumu yako*
*Usifanye israfu  ya  vyakula  kwani  kuna wenzako  wanafunga  hawajui  watakula  nini na  mwenyezi  mungu  pia hapende  wenye  kufanya  israfu*
*5.Hakikisha umemsamehe  kila  aliyekukosea  isije  pelekea kuaribu  saumu  yako*
*6.Jiepushe na  maneno  ya  upuuzi  kwani  mtume  ywasema  hana  haja  na saumu  yako  yule  ambaye  hatuwacha maneno  ya upuuzi*
*7.Epukana na uchumba  sugu  ambao  miaka  nenda  rudi  Love  you nyingi  ndoa  hakuna  piga chini  asije  kuaribia saumu  yako*
*8.Pungunza muda  wa mitandaoni  na  ushiki zaidi  Quran  kuliko  kuchati sana*
*9.Jiwekee ratiba  yakusoma  Quran  atlest  juzuu  moja  kwa siku*
*10.Jenga mazoea  yakutoa sadaka sana  kipende  hicho  cha  ramadhani*
*Mwisho zidisha  sana  istikhfar  Namuombe sana Allah  atuwafikishie mwezi wa ramadhani*
🔹🔹🔹🔹🔹🔹🔹🔹

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *