KUTOKWAA NA DAMU NYINGI WAKATI WA HEDHI KWA AKINA DADA NA KINA MAMA

Kwakawaida ktk kipind cha hedhi ni siku tatu nne had saba siku mbili za mwanzo dam hutoka kwa wing sana na siku zinazofuata hutoka kidogo na mwisho huisha ndan ya siku hizoKama siku zote za khedh mwanamke anatoa dam nying za khedh bila kuacha atakua anasumbuliwa na tatizo la kutokwa na dam nying *TIBA YA KUTOKWA NA DAM NYING WAKAT WA KHEDH**KOMAMANGA*

 • Kunywa juis ya komamanga au kula matunda yake asb kablaa kula chochotee

*MIZIZI YA MKUNDE NYIKA*

 • Chemsha mizizi hio na kunywa glass moja kutwa Mara 3 
 • Kunywaa dawa hii ya mkunde nyika siku tatu kabla kuingia ktk siku

*ALOVERA*

 • Chukua juisi ya alovera changanya na manemane habat souda sufa na bakal hadi kamun abiadh na kamun aswed tumia dawa hii Kwa Sikh 21

*KAMA UNATATZO LA KUCHELEWA KUPATA HEDHI*

 • Tatizo hili linawatesa sana wanawake WA nch hii had kukata tamaaa
 • Kunywa tangawiz hiliki na mdalasin Kwa pamojaaa husaidia kuondosha tatizo hill

*TIBA YA KUPITILIZA HEDHI**PAPAI BICHIII*

 • Kata vipande vidogo vidogo vya papai bich kula asb na jion Kwa siku 3


*KUZIBA MIRIJA YA UZAZI*

 • Kuzimba Kwa mirijaa ya uzazi ya mwanamke ni tatizo linalowapata wanawake weng kutokana na tatizo hilo wanawake weng hushindwa kuzaa wanakosa Ham ya tendo la ndoa 

*UTAJUAJE KAMA MIRIJA YAKO YA UZAZ IMEZIBA*

 • Kupata uchovu wa mwili kupitilizas
 • Kutokwa na uchafu sehem za siriii na uchafu hio huwa rang njano au kahawiaa


*JINSI YA KUJITIBU TATIZO LA KUVIMBA MIRIJA YA UZAZI*MLONGEE

 • Chukua unga au mbegu za mlonge weka ktk uji kunywaa kutwa Mara mbili Kwa siku 7 

*MZIZI WA MBAANZ*

 • Chemsha mizizi ya mbaanz michanga kunywa glass moja kutwa Mara mbili Kwa siku saba 

*SUPU YA SAMAKI*

 • Kula supu ya samak na changanya na mchicha mchanga  changanya Fanya chuku chuku

*CHANGO LA UZAZI*

 • Chango la uzazi nimiongon mwa magonjwa yanayowasumbua wanawake weng sana

*DALILI ZA CHANGO LA UZAZIII*

 • Kutoka madonge ya dam wakat wa hedh
 • Kukosa amani anapoingia wakat wa hedhi
 • Kupata maumivu ktk hedh
 • Maumivu ya tumbo haswa chini ya kitovu🌹🌹🌹🌹🌹🌹

Angalizowasiliana na daktari wako ili uweze kupatiwa vipimo na ushauri wa kitalamu Kabla ya kutumia Tiba mbadala.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *