AINA 8 ZA WANAWAKE HATARI

1). MUKHTALIYA – Huyu ni mwanamke mwenye tabia ya kujivua yaani mara kwa mara hupenda kuomba talaka hata kosa si kosa yeye keshataka aachike tu, huyu hafai hasa ukimpenda sana atakusumbua ni tabia mbaya mwanamke kutaka talaka ovyo

2). ALHANNANA – Huyu ni mwanamke mwenye tabia ya kulinganisha maisha yako na yamwanaume mwengine kama aliwahi kuolewa kabla yako au atalinganisha na maisha ya nyumbani kwao kama wa mwanzo alikuwa vizuri bas wewe utakuwa jalala la lawama huyu hafai maana siku zote utakuwa unajiona wa nyuma tu
3). ALMANNANA – Huyu ni msimbulifu kila jambo milo fanya pamoja yeye atakusimbulia na kudai kila kitu kakufundisha yeye hata akikupa zawadi ataisimbulia kwa watu hafai maana watu watakuona huna ujualo mbele yake
4). ANNAASHIZA – Huyu yeye hamtii mumewe hata kidogo na ukimuamrisha jambo haoni tabu kujibu sitaki hata mbele za watu na hupenda kuwa juu zaid ya wanaume ni mkaidi sana
5). AL AAHIRA – Huyu hatosheki na mumewe hata kama utajitahid kumridhisha bado ataenda nje tu hata ukijiwezHuyu hakawii kuleta mimba feki
6). AL BARRAAKAH – Mwenye kumemetuka, huyu hupenda kujipamba akiwa anakwenda kazini,sokoni au shughulini ila nyumbani hajipambi ng’ oo huyu analeta ugonjwa wa moyo
7). ASHADDAAQA – fedhuli anaongea sna huyu, wewe una neno moja yeye anakumi ni hatari sana na ishara yake akiongea hupenda kubinuabinua midomo na huongea kwa kunyari mara anakudhalilisha hafai huyu
8). AL HADDAAQA – Huyu mara nyingi kila anachokiona yeye anakitaka tu anapenda maisha ya kifakhari kama huna uwezo atakutoa kibiongo.
Allah waepushie wake zetu wasiwe kati ya makundi haya

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *